<img class="aligncenter size-full wp-image-6455" src="https://www.suamedia.sua.ac.tz/wp-content/uploads/2021/07/download.jpg" alt="" width="251" height="201" /> Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro Rico.