Mchezaji wa kimataifa wa timu ya Crystal Palace ya Uingereza, Mamadou Sakho akiwa na mkewe Majda Sakho ndani ya ukumbi wa bunge walipotembelea wakati wabunge wakiendelea na kikao cha 41 cha mkutano wa Bunge la Bajeti jijini Dodoma leo.