SUAMEDIA | Sokoine University of Agriculture TV and Radio
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    SUA yasema hakuna haja ya kuogopa chanjo ya UVIKO 19

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yakimwagia sifa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

    Benki Kuu ya Tanzania yatangaza mambo matano yatakayosaidia kuongeza upatikanaji wa Mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Maonesho TCU yaingia siku ya tatu

    Maonesho TCU yaingia siku ya tatu

    Ili Tanzania ibaki katika uchumi wa kati lazima Vyuo Vikuu vizalishe wasomi zaidi

    KCMC yapokea mitungi 300 ya Oksijeni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye changamoto ya upumuaji

    Rais Samia kuchanjwa Chanjo ya Corona Julai 28,2021 Jijini Dar es Salaam

    Maonesho ya Vyuo Vikuu nchini yameanza rasmi leo Julai 26, 2021

    Majaliwa: Tumedhamiria kuboresha Maslahi ya Watumishi, chapeni kazi

    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    Wakulima 99,468 Bariadi kunufaika na mfumo mpya wa kilimo cha pamba

    Tafiti za Wadudu wadhurifu zilete matokeo chanya kwa Taifa Udhibiti wa Magonjwa

    Waziri wa Kilimo azindua Kampuni ya kukopesha zana za Kilimo bila dhamana

    Matapeli 5 Wa Ardhi Bagamoyo watiwa Mbaroni

    Waziri Lukuvi amemaliza Mgogoro wa Ardhi uliodumu zaidi ya Miaka Saba Pwani

    SUA kuwajengea uwezo Watafiti katika kuandaa, kufikisha tafiti zao kwa jamii

    SUA yaongoza kitaifa katika ubora wa Tafiti, Machapisho ya Sayansi ya  Kilimo

    Kilimo Ikolojia na Mifumo ya Chakula nchini Tanzania

    Bashe: Wakulima Milioni Mbili Wasajliwa Kupitia Mfumo Wa M-kilimo

    Majaliwa: Tumedhamiria kuendeleza Zao la Zabibu

  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

No Result
View All Result
SUAMEDIA | Sokoine University of Agriculture TV and Radio
No Result
View All Result
Wakulima 99,468 Bariadi kunufaika na mfumo mpya wa kilimo cha pamba

Wakulima 99,468 Bariadi kunufaika na mfumo mpya wa kilimo cha pamba

by Tatyana Celestine
April 12, 2022
min read7 min
Samirah Yusuph.
Bariadi. Bodi ya pamba Tanzania (TCB)  imewafikia wakulima 99,468 waliopo wilaya ya Bariadi katika kampeni ya kitaifa ya kuongeza tija ya kilimo cha pamba nchini .

Kampeni hiyo iliyozinduliwa wilayani hapo juma lililopita ikilenga kuwawezesha wakulima kupata uelewa wa vipimo sahihi na vyenye tija katika maandalizi ya kilimo cha pamba pamoja na upandaji wa mbegu.Akizungumza na watendaji wa vijiji,kata, maafisa kilimo na ugani pamoja na wakuu wa idara katika wilaya ya Bariadi baada ya kukamilisha mafunzo barozi wa kilimo cha pamba nchini Agrey Mwanri amesisitiza kuendelea kutoa mafunzo ya mfumo bora wa kilimo cha pamba kwa wakati ili msimu wa kilimo unapo anza kila mkulima awe na uelewa wa kutosha.Mwanri amesema kuwa ili kila mkulima tumie mfumo wa kisasa wa sentimita 60 kwa 30 ni lazima viongozi wote katika wilaya washiriki kikamilifu katika kutoa elimu kwa kuonyesha tija iliyopo iwapo mkulima atatumia mfumo huu wa vipimo pamoja na manufaa yake katika uzalishaji.

“Shirikiana na mkulima tangu hatua za awali muelimishe namna ya kuweka mbolea msimamie hadi mavuno na yeye akiwa anaona shamba lako la lake yote yapo sawa sio unaenda kumpangia masharti tayari anakaribia mavuno, tuanze nao tangu mwanzo”.

Ameongeza kuwa lengo ni kuhakikisha mkulima anajikwamua kiuchumi na kuona thamani ya kilimo, hivyo kwa watendaji watakaokuwa wazembe na kufanya kinyume itakuwa ni ukaidi wa sera ya kitaifa katika kilimo.

Kwa upande wake Renatus Luneja Mkaguzi wa kutoka bodi ya  Pamba alieleza kuwa pamoja na kuhamasisha matumizi ya samadi na mbolea za viwandani pia viongozi wananwajibu wa kuhakikisha wakulima wote wanakuwa katika vyama vya ushirika.

“Ni rahisi kuwafikia wakulima wanapokuwa Katika vyama vya ushirika hamasisheni wajiunge katika ushirika huku mkiendelea kuwapa elimu ili tija ya kilimo ionekane”.

Kampeni ya kuongeza tija ya kilimo cha pamba nchini imelenga kuwafikia wakulima zaidi ya laki tano katika mkoa wa Simiyu ambapo hadi sasa zaidi ya wakulima laki moja wa wilaya ya Busega na Bariadi tayari wamefikiwa.

Source: MPEKUZI
Via: SUAMEDIA
ShareTweetShare

Related Posts

Tafiti za Wadudu wadhurifu zilete matokeo chanya kwa Taifa Udhibiti wa Magonjwa
Kitaifa

July 26, 2021
29
Waziri wa Kilimo azindua Kampuni ya kukopesha zana za Kilimo bila dhamana
Kilimo

47
SUA kuwajengea uwezo Watafiti katika kuandaa, kufikisha tafiti zao kwa jamii
Tafiti

SUA yaongoza kitaifa katika ubora wa Tafiti, Machapisho ya Sayansi ya  Kilimo

July 13, 2021
125
Kilimo Ikolojia na Mifumo ya Chakula nchini Tanzania
Kilimo

Kilimo Ikolojia na Mifumo ya Chakula nchini Tanzania

July 14, 2021
74
Bashe: Wakulima Milioni Mbili Wasajliwa Kupitia Mfumo Wa M-kilimo
Kilimo

Bashe: Wakulima Milioni Mbili Wasajliwa Kupitia Mfumo Wa M-kilimo

July 6, 2021
41
Majaliwa: Tumedhamiria kuendeleza Zao la Zabibu
Habari

Majaliwa: Tumedhamiria kuendeleza Zao la Zabibu

July 6, 2021
34

HABARI MPYA

  • SUA yasema hakuna haja ya kuogopa chanjo ya UVIKO 19
  • Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yakimwagia sifa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)
  • Habari katika Magazeti ya Leo July 29
  • Benki Kuu ya Tanzania yatangaza mambo matano yatakayosaidia kuongeza upatikanaji wa Mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba
  • Maonesho TCU yaingia siku ya tatu
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania