SUAMEDIA
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    SUA yasema hakuna haja ya kuogopa chanjo ya UVIKO 19

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yakimwagia sifa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

    Benki Kuu ya Tanzania yatangaza mambo matano yatakayosaidia kuongeza upatikanaji wa Mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Maonesho TCU yaingia siku ya tatu

    Maonesho TCU yaingia siku ya tatu

    Ili Tanzania ibaki katika uchumi wa kati lazima Vyuo Vikuu vizalishe wasomi zaidi

    KCMC yapokea mitungi 300 ya Oksijeni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye changamoto ya upumuaji

    Rais Samia kuchanjwa Chanjo ya Corona Julai 28,2021 Jijini Dar es Salaam

    Maonesho ya Vyuo Vikuu nchini yameanza rasmi leo Julai 26, 2021

    Majaliwa: Tumedhamiria kuboresha Maslahi ya Watumishi, chapeni kazi

    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi
    Wakulima 99,468 Bariadi kunufaika na mfumo mpya wa kilimo cha pamba

    Tafiti za Wadudu wadhurifu zilete matokeo chanya kwa Taifa Udhibiti wa Magonjwa

    Waziri wa Kilimo azindua Kampuni ya kukopesha zana za Kilimo bila dhamana

    Matapeli 5 Wa Ardhi Bagamoyo watiwa Mbaroni

    Waziri Lukuvi amemaliza Mgogoro wa Ardhi uliodumu zaidi ya Miaka Saba Pwani

    SUA kuwajengea uwezo Watafiti katika kuandaa, kufikisha tafiti zao kwa jamii

    SUA yaongoza kitaifa katika ubora wa Tafiti, Machapisho ya Sayansi ya  Kilimo

    Kilimo Ikolojia na Mifumo ya Chakula nchini Tanzania

    Bashe: Wakulima Milioni Mbili Wasajliwa Kupitia Mfumo Wa M-kilimo

    Majaliwa: Tumedhamiria kuendeleza Zao la Zabibu

  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

No Result
View All Result

by Tatyana Celestine
July 13, 2021
min read2 min

NA GLADNESS N. MPHURU

Imeelezwa kuwa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kinaongoza Kitaifa kwa kufanya tafiti na kuandika machapisho yenye tija hususani ya Sayansi za  Kilimo ambayo yanawafikia walengwa wa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania. 

Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Utafiti na Machapisho SUA, Prof. Japhet Kashaigili wakati akifungua Warsha ya siku tano inayolenga kujenga uwezo juu ya uandikaji wa machapisho chuoni hapo.

Prof. Kashaigili ameeleza malengo makuu ya Warsha hiyo kuwa ni kuwajengea uwezo Watafiti wa kujua namna ya kuziandika tafiti zao ili kuleta tija, kutafuta njia ya machapisho kumfikia mlengwa kiurahisi, kuongeza uwezo wa kutafsiri matokeo ya kisayansi kwenye lugha nyepesi na yenye kueleweka kulingana na matakwa ya jamii inayolengwa.

“Uandaaji wa machapisho hayo unahitaji utaratibu fulani na huo utaratibu mara nyingi kwa vijana ambao wametoka shule labda amemaliza PHD au wengine bado wanafanya Masters wanahitaji kujengewa uwezo ili waweze kujua namna ya kuandika machapisho ambayo yanaendana na mahitaji ya kitaaluma, mahitaji ya kijamii na ya kisera”, amesema Prof. Kashaigili

Prof. Kashaigili amesema sababu za tafiti nyingi kuishia kwenye makabati na watafiti wengi kushindwa kuandika tafiti zenye mlengo wa jamii ni kutokana na mahali ambapo chapisho limechapishwa, mvuto wa chapisho, sanjari na mchango wa chapisho husika katika kuleta maendeleo ya walengwa na nchi kiujumla.

“Tafiti zenye malengo makubwa na mapana kwa nchi zinatokana na hoja zilizopo ndani ya nchi ambazo zinahitaji utatuzi”, alisisitiza Mratibu huyo 

Aidha ametoa Rai kwa watafiti wachanga kuwa wepesi katika kujifunza na kuwa na kiu ya kufikia hatua kubwa na hata hatua ya ubobezi kwenye tafiti.

Source: SUAMEDIA
Via: SUAMEDIA
ShareTweetShare

Related Posts

SUA yasema hakuna haja ya kuogopa chanjo ya UVIKO 19
Kitaifa

April 12, 2022
303
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yakimwagia sifa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)
Kitaifa

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yakimwagia sifa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

April 12, 2022
226
Benki Kuu ya Tanzania yatangaza mambo matano yatakayosaidia kuongeza upatikanaji wa Mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba
Habari

89
Maonesho TCU yaingia siku ya tatu
Kimataifa

Maonesho TCU yaingia siku ya tatu

April 12, 2022
31
Kimataifa

Ili Tanzania ibaki katika uchumi wa kati lazima Vyuo Vikuu vizalishe wasomi zaidi

July 28, 2021
89
KCMC yapokea mitungi 300 ya Oksijeni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye changamoto ya upumuaji
Kitaifa

KCMC yapokea mitungi 300 ya Oksijeni kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wenye changamoto ya upumuaji

July 27, 2021
15

HABARI MPYA

  • SUA yasema hakuna haja ya kuogopa chanjo ya UVIKO 19
  • Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yakimwagia sifa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)
  • Habari katika Magazeti ya Leo July 29
  • Benki Kuu ya Tanzania yatangaza mambo matano yatakayosaidia kuongeza upatikanaji wa Mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba
  • Maonesho TCU yaingia siku ya tatu
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania