Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA kimezindua mafunzo kwa wakufunzi ya namna ya kufundisha kwa njia ya mtandao yaani “Online Training”
Na Gerald Lwomile Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA leo Mei 20, 2020 kimezindua mafunzo kwa wakufunzi Chuoni hapo...