LIVE:Chama cha Madaktari Tanzania wanaongea mda huu kuhusu corona
https://youtu.be/J0tGo4umtCw
https://youtu.be/J0tGo4umtCw
Daktari aliyekutana na rais wa Urusi Vladimir Putin wiki iliyopita alipokuwa akizuru hospitali moja huko Moscow, amepatikana na virusi vya...
Waziri wa afya nchini humo Thadée Ndikumana, ametangaza watu wawili ambao ni raia wa Burundi kuwa na maambukizi ya virusi...
Na: Josephine Mallango Wakati dunia ikishuhudia kuendelea kuenea kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, Daktari Mkazi wa SUA Omar...
Na : Kalokola Aporinary Kutokana na taarifa zisizo rasmi juu uwepo wa wagonjwa...
Rais Magufuli amesema watu 12 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini Tanzania. Idadi hiyo ni sawa na...
Msanii wa muziki wa Hip Hop hapa nchini Mwana FA, amekutwa na maambukizi ya homa kali inayosababishwa na virusi vya...
Bunge la Tanzania limesitisha utaratibu wa kupokea wageni mbalimbali wakiwamo wanafunzi wanaokwenda bungeni kwa lengo la kuona na kujifunza shughuli...
Meneja wa mwanamuziki nyota nchini Diamond Platnumz, aitwaye Sallam SK, ametangaza kuambukizwa virusi vya Corona, lakini amewatoa hofu Watanzania na...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wenye virusi vya corona hapa nchini sasa imefika sita