Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wenye virusi vya corona hapa nchini sasa imefika sita
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa corona baada ya visa vingine viwili kuthibitishwa kisiwani Zanzibar ...
Na: Calvin Gwabara Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia COSTECH imeliwezesha Kongano la Nguo Morogoro (KONGUMO) kushiriki maonesho mbalimbali ...
Coronavirus imevamia dunia na taarifa za kila mara kuhusu janga hili ni jambo lisiloweza kuepukika. Haya yote yanaathiri afya ya ...