Katiba ya Tanzania kipengele 18-(2) kinasema "Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi, na pia juu ya masuala muhimu kwa jamii”. Save Save Save Save Save Save Save Save Save Save Save