Waziri wa Kilimo aiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuanisiha na kutoa Takwimu sahihi za Eneo la Umwagiliaji nchini
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Serikali imeiagiza Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kuanisha eneo halisi la umwagiliaji na kulifanyia...