Balozi wa China nchini Tanzania PWANG KE amesema kuwa nchi yake itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuimarisha na kukuza sekta mbalimabali ikiwemo Kilimo ili wakulima waweze kunufaika na mazao yao na Taifa kiujumla. PWANG KE amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya wakulima kwa kilimo cha mpunga Dakawa…