Rais Magufuli: Serikali kuendelea kuimarisha na kuboresha Mifumo na Miundombinu ya utoaji huduma ya Afya nchini
Na Mwandishi Wetu,MAELEZO RAIS Dkt. John Magufuli amesema katika kipindi cha miaka minne ya utawala wake, Serikali imeweza kuajiri watumishi...