SUAMEDIA
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

    Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

    LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

    BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

    Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

    Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

    Tume ya Uchaguzi yabadili majina ya Majimbo matatu, yatangaza Tarehe ya Kutoa Fomu

    Rais Mkapa (Kuzaliwa, Elimu, Uongozi na Urais)

    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi

    VIDEO: SUA imeendeleza mkakati wa kuhakikisha wadau wa Elimu wanafikiwa kwa njia ya Elimu Masafa

    Video: Kilimo cha mbogamboga kwa kutumia viroba

    Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Mabula aipongeza Wizara Ya Ardhi kuwezesha Nchi kufikia Uchumi Wa Kati

    Serikali yazindua Chanjo za Kimkakati 13 za Mifugo, Waziri Mpina awaweka kitanzini Wakurugenzi

    Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

    VIDEO: Katavi Mkoa wa Kilimo na Utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

    Vyuo vya Kilimo nchini vyatakiwa kujiimarisha kimapato

    • Kilimo
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Ufugaji na Uvuvi
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

Home Movie

Wabunifu Watakiwa Kubuni Kazi Za Kuwaingizia Kipato

Pia Jamii Yashauriwa Kutumia Mkaa Mbadala Ili Kutunza Mazira

by Tatyana Celestine
March 17, 2020
min read3 min
2

RELATED POSTS

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

Buy JNews
ADVERTISEMENT
Wabunifu wa kazi za Sanaa na ubunifu hapa nchini  wametakiwa kubuni kazi ambazo zitawaletea kipato na kuachana na bunifu za kujifurahisha ambazo haziwasaidii katika kupata kipato kwani bunifu ni muhimu kuelekea uchumi wa Viwanda.

Hayo yamebainishwa  Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa idira ya sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka Wizara ya Elimu Profesa Maulilio kipanyula, wakati wa ufunguzi wa semina ya washiriki katika wiki ya maonyesho ya bunifu zinazofanywa na watanzania, ambazo zitafanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.Amesema ni muhimu wabunifu wote wakabuni vitu ambavyo vitawasaidia katika kupata kipato na sio kubuni bunifu za kujifurahisha ambazo haziwasaidii katika kupata kipato.

“Umefika wakati wabunifu wetu mbuni vitu ambavyo vitawasaidia kupata kipato msibuni vitu ambavyo haviwaletei maendeleo mjikite katika bunifu ambazo zitawasaidia kiuchumi” amesema Prof. Kipanyula.

Amesema lazima bunifu wanazobuni zinakuwa na mchango kwenye uchumi wa taifa hasa kipindi hiki tunaelekea katika uchumi wa Viwanda, kwa maendeleo ya nchi na mtu kipato Cha mtu mmoja mmoja.

Amebainisha kuwa ubunifu sio sayansi tu bali ni kila kitu ambacho unabuni ambacho kitasaidia katika kurahisisha vitu flani na upo kila mahala sio lazima uwe umesoma masomo ya sayansi.

“Ubunifu sio mpaka uwe umesoma Biology, sijui hisabati, Physics hapana ubunifu ni mahala popote ambapo unaweza kubuni kwa kujiongeza na kitu kikawa na msaada kwa kurahisisha kitu flani au mahitaji ya soko” amesema.

Amesema ni muhimu kutumia teknolojia za ndani kuliko kutegemea teknolojia za nje ambazo hazitatusaidia kama nchi, ni muhimu kukuza bunifu za ndani, na kuahidi kuziendeleza bunifu hizo na Wizara itahakikisha bunifu zote zinatambuliwa zinasimamiwa na zinasaidiwa ili ziwe na mchango katika Jamii.

Amesema makundi ya wabunifu yatakayoshiriki ni makundi Saba (7) ambayo ni shule za msingi, shule za Sekondari, vyuo vya ufundi, vyuo vya ufundi wa kati, vyuo vikuu, taasisi za utafiti na maendeleo na wabunifu kutoka sekta isiyo rasmi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Taasisi ya Capital Space, ambayo huwalea wabunifu, bw. Abdallah Mbwana, amesema taasisi hiyo huwasaidia wabunifu na wajasiliamali katika kutengeneza mifumo ya bunifu zao kuwa biashara.

Naye Mkurugenzi  wa kampuni ya Kuja na Kushoka  inayotengeneza mkaa  mbadala ,Leonard Kushoka  akizungumza na wanahabari katika maonesho hayo ya MAKISATU  ametoa wito kwa jamii kuacha  kuharibu Mazingira mazingira kwa kukata miti  ovyo badala yake watumie mkaa mbadala kwa kutumia takataka  na mabaki ya mimea  yanayozalishwa majumbani kila siku.

Kushoka amebainisha  kuwa,kumekuwepo na uharibifu mkubwa wa mazingira kwa kukata miti hoyo  kwa mahitaji ya mkaa lakini kiwanda chake kimekuja kutatua tatizo la ukataji miti hovyo kwa kuwalete mashine ya mkaa mbadala na kwa bei nafuu.

Amesema kwa mkaa huo sio lazima utengenezwe kwa mashine , kuna uwezekano mkubwa kwa mtu kutengeneza mkaa huo hata akiwa nyumbani  kwani teknolojia hiyo ni raisi kutengenezeka .

“ Takwimu kutoka TFS zinaonyesha kuwa karibu hekta 4000 hualibika kila mwaka kutokana na ukataji wa miti kutokana na mahitaji ya mkaa katika jamii hivyo kutokana na changamoyo hiyo tukaona ni vyema tuje na huu mpango wa kutengeneza mashine ya mkaa mbadala, ”alisema Mkurugenzi huyo Kushoka.

Aidha amesema kuwa,Kampuni yao pia inatengeneza ajira kwa vijana kwani mpaka sasa wameshasambaza mashine 30 kwa vijana lengo ni kusambaza mashine hizo za kutengeneza mkaa mbadala kwa vijana 100 ambapo hapo tutakuwa tumetengeneza ajira kwa vijana 150.

Ameiomba serikali kuwekeza kwa nguvu kubwa kwenye teknolojia hiyo na ikiwezekana kila kwenye kata kuwepo na mashine moja ya kutengenezea mkaa kwani kwa kufanya hivyo kutasaidia kuondoa tatizo la kuzagaa kwa takataka katika miji ambazo zinatumia fedha nyingi katika kuziteketeza.

“ Kama jiji la Dar es sallam linauwezo wa kutumia mkaa wa bilioni 2 basi serikali ikiwekeza katika mashine hizi tutapunguza ukataji miti na uharibifu wamazingira  kwani kila  kilo moja ya mkaa mbadala inatengeneza kilonne ya mkaa wa miti,”alisema Kushoka.

ShareTweetPin

Tatyana Celestine

Related Posts

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
Kilimo

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

September 16, 2020
Kitaifa

Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

September 16, 2020
Kitaifa

LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

September 16, 2020
Kilimo

BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

September 16, 2020

Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

July 24, 2020

Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

July 24, 2020
Next Post

Coronavirus: Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Mwekezaji aliyekiuka masharti akataliwa na wanakijiji

Comments 2

  1. donate non working car says:
    2 months ago

    I got this skte from my pal who shared with me concerning this website and now this time
    I am browsing this website and reading very informative
    articles orr reviews at this place.

  2. buy health insurance says:
    2 months ago

    Excellent post.I was checking continuously this blog and I am impressed!
    Extremely useful information. I care for such information a lot.
    I was looking for this certain information for a very long
    time.Thank you and gpod luck.

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published.

HABARI MPYA

  • Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
  • Habari katika Magazeti ya leo Jumatatu August 17
  • Habari katika Magazeti ya leo Ijumaa August 14
  • Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC
  • Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania