SUAMEDIA
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

    Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

    LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

    BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

    Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

    Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

    Tume ya Uchaguzi yabadili majina ya Majimbo matatu, yatangaza Tarehe ya Kutoa Fomu

    Rais Mkapa (Kuzaliwa, Elimu, Uongozi na Urais)

    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi

    VIDEO: SUA imeendeleza mkakati wa kuhakikisha wadau wa Elimu wanafikiwa kwa njia ya Elimu Masafa

    Video: Kilimo cha mbogamboga kwa kutumia viroba

    Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Mabula aipongeza Wizara Ya Ardhi kuwezesha Nchi kufikia Uchumi Wa Kati

    Serikali yazindua Chanjo za Kimkakati 13 za Mifugo, Waziri Mpina awaweka kitanzini Wakurugenzi

    Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

    VIDEO: Katavi Mkoa wa Kilimo na Utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

    Vyuo vya Kilimo nchini vyatakiwa kujiimarisha kimapato

    • Kilimo
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Ufugaji na Uvuvi
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

Home

SADC yazipongeza Tanzania na Mauritius kupanda kiuchumi

by Tatyana Celestine
July 16, 2020
min read3 min
0

RELATED POSTS

Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

Virusi vya corona: Trump akubali janga la corona ‘litaathiri vibaya’ kabla ya hali kuimarika

Nchiza SADC zatakiwa kupambana na Ugaidi na Utakatishaji Fedha Haramu

Buy JNews
ADVERTISEMENT
Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezipongeza nchi za Tanzania na Mauritius kwa kufanikiwa kuingia katika uchumi wa kati na juu licha ya changamoto mbalimbali za kiuchumi zilizoikumba Jumuiya hiyo.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu alipofungua Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Fedha na Uwekezaji wa nchi za SADC kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, uliofanyika kwa njia ya mtandao katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.
Mhe. Zungu alisema kuwa Tanzania ilitangazwa na Benki ya Dunia kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha kati na Mauritius imepanda daraja na kuwa nchi yenye hadhi ya kipato cha juu kutokana na kuongezeka kwa pato la mtu mmoja mmoja.
“Kwa Tanzania pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka kutoka dola za Marekani 1,020 kwa mwaka 2018 na kufikia dola za Marekani 1,080 kwa mwaka 2019 na Mauritius pato la mtu mmoja mmoja limeongezeka hadi kufikia dola za Marekani 12,740 kwa mwaka 2019 kutoka na dola za Marekani 12,050 mwaka 2018”, alifafanua.
Mhe. Zungu alisema pamoja na nchi kupanda daraja hakuna nchi mwanachama ambayo imeshuka daraja na kuzishauri nchi wanachama kuyatumia mafanikio hayo kama chachu ya kujitathmini na kuangalia uwezekano wa kuleta maendeleo zaidi ya kiuchumi na kuchukua tahadhali ili chumi zisiweze kushuka hadhi.
Pamoja na mafanikio hayo, alizisihi nchi wanachama kuendelea kuchukua hatua za kukabiliana na janga la homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) bila kuathiri shughuli za kiuchumi kwa kuwa ugonjwa huo ni changamoto nyingine ya uchumi wa Jumuiya hiyo.
Alisema kuwa athari za ugonjwa huo zinatajwa kusababisha chumi za nchi nyingi duniani kuporomoka kutokana na kusimama kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii ambazo kwa kiasi kikubwa zimeathiri sekta ya huduma  zinazochangia zaidi ya robo ya ajira zote katika chumi za nchi wanachama wa SADC.
“Matokeo ya uchambuzi wa athari za ugonjwa wa COVID-19 kwenye viashiria vya muunganiko wa uchumi mpana kwa nchi za SADC yameonesha nchi wanachama zinatarajia kushuhudia ukuaji mdogo wa uchumi, kuongezeka kwa nakisi ya bajeti ya Serikali na kuongezeka kwa madeni”,alisema Mhe. Zungu.
Mhe. Zungu amezishauri nchi wanachama wa SADC kutafuta fedha kutoka vyanzo vyenye masharti nafuu ili kuchochea shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijami ambazo ziliatharika na COVID-19 pamoja na kupunguza mzigo wa madeni.
Aidha, aliipongeza Sekretarieti ya SADC kupitia kamati zake ndogondogo kwa kazi wanayoifanya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kutafuta njia mbalimbali zenye ubunifu katika kugharamia miradi ya maendeleo kwa kuangalia namna bora ya uendeshaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Kikanda na Mfuko wa Kugharamia Miradi ya Miundombinu ya Usafirishaji wa Nishati ya Umeme.
Alisema matokea ya kazi zao yatatoa fursa kwa nchi wanachama kutoa maamuzi ambayo yatapelekea kufikia malengo ya Jumuiya na kusaidia kuboresha mazingira ya kuvutia uwekezaji.
Alisisitiza kuwa Mfuko wa Kugharamia Miradi ya Miundombinu ya Usafirishaji wa Nishati ya Umeme utasaidia kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji ndani ya Jumuiya kwa kuwa suala la upatikanaji wa nishati ya umeme wa uhakika  ni sehemu muhimu itakayoiwezesha Jumuiya kufikia malengo yake ya uchumi wa viwanda.
Katika hatua nyingine, Mhe. Zungu aliihakikishia Jumuiya hiyo kuwa uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa amani na utulivu utakaozingatia misingi ya demokrasia huku akizipongeza nchi za Botswana na Malawi kwa kufanya uchaguzi wao mkuu kwa amani na utulivu.
Source: MPEKUZI
Via: SUAMEDIA
ShareTweetPin

Tatyana Celestine

Related Posts

Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

August 13, 2020

Virusi vya corona: Trump akubali janga la corona ‘litaathiri vibaya’ kabla ya hali kuimarika

July 22, 2020

Nchiza SADC zatakiwa kupambana na Ugaidi na Utakatishaji Fedha Haramu

July 14, 2020

Virusi vya corona: Florida imerekodi idadi kubwa ya maaambukizi ya Covid-19 ndani ya saa 24

July 13, 2020
Kimataifa

SUA kuandaa sera ya kudhibiti udhalilishaji wa kingono

July 8, 2020
Hifadhi, Utalii na Mazingira

Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

July 8, 2020
Next Post

BREAKING: Rais Magufuli amuapisha Mkuu wa Mkoa mpya wa DSM na wengine

Tumieni Maktaba ya Taifa ya Kilimo SUA kuongeza Maarifa-Dkt. Wulystan Mtega

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published.

HABARI MPYA

  • Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
  • Habari katika Magazeti ya leo Jumatatu August 17
  • Habari katika Magazeti ya leo Ijumaa August 14
  • Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC
  • Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania