SUAMEDIA
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

    Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

    LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

    BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

    Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

    Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

    Tume ya Uchaguzi yabadili majina ya Majimbo matatu, yatangaza Tarehe ya Kutoa Fomu

    Rais Mkapa (Kuzaliwa, Elimu, Uongozi na Urais)

    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi

    VIDEO: SUA imeendeleza mkakati wa kuhakikisha wadau wa Elimu wanafikiwa kwa njia ya Elimu Masafa

    Video: Kilimo cha mbogamboga kwa kutumia viroba

    Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Mabula aipongeza Wizara Ya Ardhi kuwezesha Nchi kufikia Uchumi Wa Kati

    Serikali yazindua Chanjo za Kimkakati 13 za Mifugo, Waziri Mpina awaweka kitanzini Wakurugenzi

    Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

    VIDEO: Katavi Mkoa wa Kilimo na Utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

    Vyuo vya Kilimo nchini vyatakiwa kujiimarisha kimapato

    • Kilimo
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Ufugaji na Uvuvi
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

Home

by Tatyana Celestine
August 13, 2020
min read1 min
0
Buy JNews
ADVERTISEMENT

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea mwito serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuhakikisha uchunguzi wenye ufanisi juu ya mauaji ya wanachama wanne wa chama cha siasa cha rais Felix Tshisekedi.

Julai 12, mwili wa Dodo Ntumba ulikutwa ukielea katika Mto Lubumbashi, na Julai 13, miili ya Mardoche Matanda na Heritier Mpiana, wote wakiwa na umri wa miaka 18, waliopolewa kutoka mtoni.

RELATED POSTS

Virusi vya corona: Trump akubali janga la corona ‘litaathiri vibaya’ kabla ya hali kuimarika

SADC yazipongeza Tanzania na Mauritius kupanda kiuchumi

Nchiza SADC zatakiwa kupambana na Ugaidi na Utakatishaji Fedha Haramu

Agosti 3, familia ya Danny Kalmbayi mwenye umri wa miaka 29, iliukuta mwili wake katika chumba cha maiti, mwezi mmoja tangu walipomuona kwa mara ya mwisho.

Watu walioshuhudia waliliambia shirika la Huma Rights Watch kwamba miili yote ilikuwa na alama za kukatwa na kuondolewa viungo, ambazo zinaweza kuwa zilitokana na mateso.

Kwa mujibu wa Human Rights Watch, vifo hivyo vilitokea katika muktadha wa ukandamizaji unaozidi tangu mwanzoni mwa mwaka huu.

Shirika hilo limeitaka serikali kuchunguza taarifa kwamba marehemu hao walikuwa wanashikiliwa katika kituo cha kijeshi mjini Lubumbashi, kufuatia maadamano ya Julai 9.

ShareTweetPin

Tatyana Celestine

Related Posts

Virusi vya corona: Trump akubali janga la corona ‘litaathiri vibaya’ kabla ya hali kuimarika

July 22, 2020

SADC yazipongeza Tanzania na Mauritius kupanda kiuchumi

July 16, 2020

Nchiza SADC zatakiwa kupambana na Ugaidi na Utakatishaji Fedha Haramu

July 14, 2020

Virusi vya corona: Florida imerekodi idadi kubwa ya maaambukizi ya Covid-19 ndani ya saa 24

July 13, 2020
Kimataifa

SUA kuandaa sera ya kudhibiti udhalilishaji wa kingono

July 8, 2020
Hifadhi, Utalii na Mazingira

Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

July 8, 2020
Next Post

Habari katika Magazeti ya leo Ijumaa August 14

Habari katika Magazeti ya leo Jumatatu August 17

HABARI MPYA

  • Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
  • Habari katika Magazeti ya leo Jumatatu August 17
  • Habari katika Magazeti ya leo Ijumaa August 14
  • Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC
  • Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania