SUAMEDIA
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

    Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

    LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

    BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

    Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

    Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

    Tume ya Uchaguzi yabadili majina ya Majimbo matatu, yatangaza Tarehe ya Kutoa Fomu

    Rais Mkapa (Kuzaliwa, Elimu, Uongozi na Urais)

    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi

    VIDEO: SUA imeendeleza mkakati wa kuhakikisha wadau wa Elimu wanafikiwa kwa njia ya Elimu Masafa

    Video: Kilimo cha mbogamboga kwa kutumia viroba

    Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Mabula aipongeza Wizara Ya Ardhi kuwezesha Nchi kufikia Uchumi Wa Kati

    Serikali yazindua Chanjo za Kimkakati 13 za Mifugo, Waziri Mpina awaweka kitanzini Wakurugenzi

    Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

    VIDEO: Katavi Mkoa wa Kilimo na Utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

    Vyuo vya Kilimo nchini vyatakiwa kujiimarisha kimapato

    • Kilimo
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Ufugaji na Uvuvi
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

Home Movie

Hoteli aliyopatikana Mgonjwa Wa Corona Jijini Arusha Yafungiwa

Waliopo Hotelini wote hakuna kutoka wala kuingia

by Tatyana Celestine
March 17, 2020
min read2 min
0

RELATED POSTS

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

Buy JNews
ADVERTISEMENT

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya Mkoa huo amebainika kuwepo kwa mgonjwa mmoja wa Corona na kwamba hoteli ambayo amekutwa mgonjwa huyo imefungwa na hivyo hakuna anayeingia wala anayetoka.

Akizungumza  Machi 16 mwaka 2020 , Mkuu wa Mkoa wa Arusha Gambo amesema kama ambavyo ameeleza Waziri wa Afya ,Maendeleo  ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ni kweli wamepata mgonjwa mmoja wa Corona na kwa mujibu wa taarifa huyo mgonjwa alishuka jana  katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa kutumia ndege ya Rwanda Air.

Amesema kuwa mgonjwa huyo alifikia kwenye hoteli inayofahamika kwa jina la Temi Valle Hoteli ya jijini Arusha na kwamba baadae alienda hospitali Mount Meru  kwa ajili ya kuchukuliwa sampuli na kisha kupelekwa Dar es Salaam ambako kuna maabadara ya kupima sampuli za Corona na kubainika ni kweli  ana Corona.

“Na tulichokifanya sisi kama Serikali za ngazi ya Mkoa kwanza ile hoteli ambayo mgonjwa alifikia tumeifungia na hakuna mtu kuingia wala kutoka kati ya wafanyakazi na wahusika wote waliokuwa wanakaa kwenye hoteli hiyo,  ,hatua ambayo tumechukua ni kuchukua sampuli kwa ajili ya watu wote katika hoteli hiyo  kubaini kama kuna wengine walioambukizwa.

” Lakini hatua ya tatu ambayo tumechukua kama Mkoa ni kutenga eneo maalum iwapo atapatikana mgonjwa yoyote ambaye atapelekwa kwenye  eneo hilo kwa ajili ya hatua nyingine za matibabu.Pia tunamfuatilia dereva taksi ambaye alimpakia mgonjwa Corona pamoja na familia yake ili naye achunguzwe kama hajapata maambukizi, “amesema   Gambo.

Amewatoa hofu wananchi wa Mkoa wa Arusha waendelee kuwa watulivu kwani Serikali imechukua hatua stahiki katika kukabiliana na ugonjwa huo huku akieleza namna ambavyo wamefuatilia mtandao wote wa watu ambao kwa namna moja au nyingine walimpokea mgonjwa huyo wanapatikana na kisha kupimwa, lengo ni kuhakikisha Mkoa huo maambukizi hayasambai.

Tags: JORDANMUMMZUMBENOCUSayansi na TeknolojiasokoineSUAUDSMUniversity of Dar es SalaamWizara ya Elimu
ShareTweetPin

Tatyana Celestine

Related Posts

Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
Kilimo

September 16, 2020
Kitaifa

Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

September 16, 2020
Kitaifa

LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

September 16, 2020
Kilimo

BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

September 16, 2020

Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

July 24, 2020

Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

July 24, 2020
Next Post

Wabunifu Watakiwa Kubuni Kazi Za Kuwaingizia Kipato

Coronavirus: Mtu wa kwanza ajitolea kufanyiwa chanjo ya virusi vya corona Marekani

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published.

HABARI MPYA

  • Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
  • Habari katika Magazeti ya leo Jumatatu August 17
  • Habari katika Magazeti ya leo Ijumaa August 14
  • Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC
  • Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania