SUAMEDIA
No Result
View All Result
  • MWANZO
  • HABARI
    • All
    • Kimataifa
    • Kitaifa
    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo

    Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC

    Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru

    LIVE: Mwili wa Rais Mkapa unaagwa Uwanja wa Uhuru, Mkewe aishiwa nguvu, Magufuli, majonzi yatawala

    BOOK OF THE WEEK- “Increasing Production from the Land: A Source Book on Agriculture for Teachers and Students in East Africa” 

    Mubashara:Kinachoendelea msibani kwa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa muda huu

    Nafasi za Kazi katika Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa

    Tume ya Uchaguzi yabadili majina ya Majimbo matatu, yatangaza Tarehe ya Kutoa Fomu

    Rais Mkapa (Kuzaliwa, Elimu, Uongozi na Urais)

    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • MAGAZETI
  • MAKALA
    • All
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Kilimo
    • Ufugaji na Uvuvi

    VIDEO: SUA imeendeleza mkakati wa kuhakikisha wadau wa Elimu wanafikiwa kwa njia ya Elimu Masafa

    Video: Kilimo cha mbogamboga kwa kutumia viroba

    Naibu Waziri wa Ardhi Dkt. Mabula aipongeza Wizara Ya Ardhi kuwezesha Nchi kufikia Uchumi Wa Kati

    Serikali yazindua Chanjo za Kimkakati 13 za Mifugo, Waziri Mpina awaweka kitanzini Wakurugenzi

    Bupilipili: SUA inafanya mambo yake kwa vitendo ikiwa ni pamoja na utalii

    VIDEO: Katavi Mkoa wa Kilimo na Utalii unaotendea haki kasi ya maendeleo ya Serikali ya Awamu ya Tano

    Vyuo vya Kilimo nchini vyatakiwa kujiimarisha kimapato

    • Kilimo
    • Hifadhi, Utalii na Mazingira
    • Ufugaji na Uvuvi
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG
SUBSCRIBE YOUTUBE

Home Editorial

Dirisha la uhamisho EPL kufunguliwa Julai 25

by Tatyana Celestine
July 22, 2020
min read1 min
0

RELATED POSTS

LEO Yanga na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro

Tanzania kuchukua nafasi ya Libya?

Cosota yapewa saa 24 kuwasilisha mkakati utakaowanufaisha Wasanii

Buy JNews
ADVERTISEMENT
VINARA wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wamethibitisha kwamba kipindi cha uhamisho wa wachezaji kwa minajili ya kampeni za muhula ujao sasa kitakuwa kati ya Julai 25 na Oktoba 5, 2020.
“Washikadau wa EPL wameafikiana kuhusu tarehe mpya zitakazowapa washiriki wa kipute hicho muda wa kujishughulisha sokoni kwa minajili ya kujisuka upya kwa ajili ya kampeni za muhula ujao.
Kipindi cha muhula huu kitakuwa cha wiki 10, kuanzia Julai 27 na Oktoba 5,” ikasema sehemu ya taarifa iliyotolewa na wasimamizi wa EPL.
Tarehe hizo zinaafikiana pia na ratiba ya Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga), Uhispania (La Liga) na Italia (Serie) ambazo zimefichua kwamba Oktoba 5, 2020 itakuwa siku ya mwisho ya uhamisho kwa wanasoka wote wanaopania kuondoka au kujiunga na vikosi vinavyonogesha soka ya mataifa hayo.
Ina maana kwamba klabu zitakazoshiriki kivumbi cha EPL msimu ujao zitakuwa na wiki 10 pekee kujishughulisha sokoni kabla ya kipenga cha kuashiria mwanzo wa muhula ujao wa 2020-21 kupulizwa.
“Baada ya kushauriana na vinara wengine wa soka ya Uingereza, usajili wa ndani kwa ndani miongoni mwa wachezaji wa ligi za madaraja ya chini pekee nchini Uingereza ndio utakaoruhisiwa kufanyika kati ya Oktoba 5 hadi Oktoba 16.
Vikosi vitakuwa na uwezo wa kurasimisha mikataba ya kudumu au ya mikopo kutoka ligi za chini za EPL wakati huo. Itakuwa haramu kwa vikosi kusajili wanasoka wa kutoka klabu nyinginezo za EPL,” ikaongeza taarifa hiyo.
Source: MPEKUZI
Via: SUAMEDIA
ShareTweetPin

Tatyana Celestine

Related Posts

LEO Yanga na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro

July 22, 2020

Tanzania kuchukua nafasi ya Libya?

July 21, 2020

Cosota yapewa saa 24 kuwasilisha mkakati utakaowanufaisha Wasanii

July 16, 2020

Bondia Mwakinyo kupigania mkanda wa WBF Agosti 14 mwaka huu

July 10, 2020

Diamond Platnumz analinganishwaje na nyota wengine wa Afrika katika mtandao wa YouTube?

June 23, 2020

Virusi vya Corona: Tokyo yapokea mwenge wa Olimpiki bila shamrashmra

March 20, 2020
Next Post

LEO Yanga na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro

Rais Magufuli akerwa TAKUKURU kutaka kujenga ofisi Chato...

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published.

HABARI MPYA

  • Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo chapongezwa kwa ubunifu katika Kilimo
  • Habari katika Magazeti ya leo Jumatatu August 17
  • Habari katika Magazeti ya leo Ijumaa August 14
  • Human Rights Watch yahimiza uchunguzi wa kuaminika kuhusu miili iliyokutwa mtoni DRC
  • Mubashara: Asubuhi hii: Mwili wa Hayati Mkapa kuelekea uwanja wa Uhuru
  • MWANZO
  • HABARI
  • MAKALA
  • TAFITI
  • MICHEZO & BURUDANI
  • 101.1 SUA FM
  • SUA TV
  • SUAMEDIA BLOG

© 2020 Sokoine University of Agriculture Media, Tanzania