Kampuni ya Ujenzi ya CHINA RAILWAY 15 GROUP imeanza kuwalipa Wafanyakazi na Vibarua waliojenga Daraja la Magufuli katika mto Kilombero
Na. Vedasto George. Kampuni ya Ujenzi ya CHINA RAILWAY 15 GROUP imeanza kuwalipa wafanyakazi na vibarua waliojenga daraja la Magufuli...