RC Malima awataka wafugaji kujiunga kwenye vyama vya ushirika vya ufugaji
MKUU wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amewataka wafugaji kujiunga kwenye vyama vya ushirika vya ufugaji ili serikali na taasisi...
MKUU wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amewataka wafugaji kujiunga kwenye vyama vya ushirika vya ufugaji ili serikali na taasisi...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Arusha Katika kuendeleza ushirikiano na Sekta binafsi, ambalo ni jukumu la kisheria la Serikali kuhamasisha...
Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Arusha WIZARA ya Kilimo imesema kwa sasa imeweka msukumo kwa wawekezaji kuzalisha pembejeo hapa nchini...
Na: Catherine Mangula Ogessa Serikali imeombwa kuendelea kufadhili kwa kuwezesha Vyuo Vikuu ili vifanye tafiti ambazo zina tija kwa nchi...
Mkuu wa wilaya ya Lindi, Shaibu Ndemanga amewataka wakulima wa ufuta, washiriki kikamilifu kulinda na kudhibiti ubora wa ufuta ili...
Na: Farida Mkongwe Jumla ya wahitimu 149 wametunukiwa Shahada, Stashahada na Astashahada za Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA...
Na: Catherine Mangula Ogessa Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango , amewataka wadau wote mtambuka wa Sekta ya...
NA GLADNESS MPHURU Imeelezwa kuwa Panya waitwao Search and rescue Rat wanaopata mafunzo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo...
Na; MOHAMEDI TWAHA Taasisi ya ASA ambayo inajihusisha na maswala ya kusambaza mbegu imewataka wakulima kununua mbegu zenye ubora ulio...
Na: Farida Mkongwe Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Philip Mpango kesho Mei 27 atakuwa...